Marafiki karibuni kutembelea blog yangu itakuwa ikielezea kwa undani mambo ya kiutamaduni kisiasa na kiuchumi na maswala mbali mbali na uchambuzi wake ikiwemo kuwaharika wageni wa swala litakalokuwa linazungumziwa ili kuhakikisha tunafikia kumfungua Mtanzania ki fikra hasa kwa mambo ambayo yanaihusu jamii yetu kwa ujumla
Pia nitakuwa nikitoa habari mbalimbali ikiwemo historia za wana siasa na kuhojiana nao kuhusiana na maswala mbalimbali yatakayokuwa yakijitokeza kwenye jamii zetu bila kusahau swala zima la michezo na burudani!
Karibuni sana tulijenge taifa letu Tanzania.
No comments:
Post a Comment